Saturday, January 5, 2013

 Ni kifo cha kikatili kilichosababishwa na dhambi zako na zangu lakini kimeleta neema kwa wanadamu wote. Sio jambo ambalo shetani alilipenda lakini angejua kumwua Yesu kungesababisha madhara gani katika ulimwengu wake wa giza kamwe asingefanya hivyo. TUMEPATA DAMU YA THAMANI SANA KWENYE MSALABA WA YESU. endelea kufungua blog hii,ili upate habari halisi za Yesu aliye hai.

No comments:

Post a Comment