Hii ni blog inayozungumzia habari njema za Yesu aliye hai na ukombozi tulioupata wanadamu kupitia Damu ya Yesu. Hili ni agizo la Yesu alilosema mapema akiondoka ulimwenguni kwamba "----------enendeni duniani pote mkahubiri injili kwa kila kiumbe" Marko 16:15. Yesu akusaidie utapaposoma maneno ya uzima kupitia blog hii upate neema yake ya ukombozi nauokolewe katika kila kifungo katika jina la Yesu na baraka zinazopatikana kupitia damu ya yesu zikae kwako. AMEN.
No comments:
Post a Comment